complement

n 1 kijalizo, kitimizo, kikamilisho; kiasi kamili. (maths) ~ of a set kikamilisho cha seti. 2 (gram) shamirisho. vt kamilisha, timiza; shamirisha. complementary adj 1 -a kutimizana, -a kukamilishana, -a kufanya kamili; -a -ote pamoja farming and industry are ~ary kilimo na viwanda hukamilishana. 2 (maths) ~ary angles n vikamilisho vya pembe mraba.