competent
adj 1 -enye ustadi/uwezo/ uhodari. 2 (legitimate) halali,-a sheria. 3 -a kutosha -a kuridhisha. competence/competency n 1 uwezo, ustadi, uhodari; ufarisi. 2 (lit) (moderate means), riziki, mali (si nyingi ila) za kutosha. 3 (of a court, a magistrate) uwezo wa kisheria.