company

n 1 kuwa pamoja na wengine I shall be glad of your ~ nitafurahi kuwa pamoja nawe. sin in good ~ watu bora zaidi wamefanya vile vile keep ~ with kuwa na urafiki na (hasa mwanamume kwa mwanamke) keep (bear) somebody ~ enda naye, kaa naye. part ~ achana (na) two's ~ three's a crowd wawili ni sawa akiongezeka mmoja ni vurugu. 2 wageni walioalikwa a man is known by his ~ tabia ya mtu hujulikana kutokana na marafiki zake. in ~ mbele ya watu. 3 mwenzi he is good ~ ni mwenzi mzuri. 4 Kampuni. private ~ n kampuni ya binafsi. 5 (mil.) kombania. 6 kundi la watu wafanyao kazi pamoja (k.m. wasanii, mabaharia).