compact

compact

1 n mapatano, maafikiano, mkataba.

compact

2 n bweta la poda (daima huwa na kioo).

compact

3 vt unganisha; gandamiza; gandisha adj (firm) -gumu, -a kubanana, imara; thabiti. 2 (close) -a karibukaribu. 3 (brief) fupi, -lioshikamana vizuri. compactness n.