commute

vt,vi 1 badilisha (aina ya malipo k.m. pesa badala ya huduma). 2 punguza adhabu, toa tahafifu, -pa tahafifu. 3 badilisha (mkondo umeme). 4 safiri kila siku mjini (kwa treni/gari n.k.). commuter n msafiri wa aina hii. commutable adj -a kuweza kubadilishiwa/ kupunguzwa au kusahilishwa . commutation n 1 ubadilishaji. 2 (of punishment) tahafifu. 3 (US) commutation ticket n tiketi ya muda. commutator n komutata: chombo cha kugeuzia mwelekeo wa mkondo umeme.