communion

n 1 (sharing) ushirikiano, umoja. 2 kupeana/kushirikiana (mawazo, n.k); urafiki. 3 ushirika: jamii ya watu wenye kanuni zile zile za imani. 4 (rel) (Holy) Communion Komunyo: Karamu Takatifu, Ushirika Mtakatifu.