communicate

vt,vi 1 (share, pass) toa, pasha, pitisha (habari n.k.). 2 (with) wasiliana na. 3 ungana na (kama nyumba, bustani, chumba kwa njia ya mlango, geti n.k.). 4 (rel) pokea Ushirika Mtakatifu/komunyo. 5 jieleza that student can't ~ well yule mwanafunzi hawezi kujieleza vizuri. communication n 1 mawasiliano. 2 njia za mawasiliano (k.m. simu, reli n.k.). 3 habari, taarifa communication from the chair taarifa ya mwenyekiti. communication cord (in train) mnyororo ya tahadhari. communicable adj 1 -enye kuwezekana kuelezwa. 2 (of disease) -a kuambukiza. communicable disease n maradhi ya kuambukiza. communicative adj -enye kupenda kuwasiliana. communicativeness n. communicator n.