commune

commune

1 n 1 wajima: kikundi cha watu wanaoishi pamoja na kugawana mali zao. 2 kikundi cha watu wanaofanya kazi pamoja kwa faida ya wote. 3 eneo la kikundi. 4 (in France etc) Halmashauri. communal adj 1 -a jumuia; -a kutumiwa na watu wote. 2 -a kuhusu vikundi mbalimbali katika jamii communal disturbances fujo kati ya vikundi mbalimbali (kwa sababu ya dini, taifa, rangi n.k.). communalism n ujima.

commune

2 vi 1 (with) jisikia kuwa pamoja. ~ with the night vaa usiku. 2 (together) badilishana mawazo n.k. 3 (rel) pokea komunyo/ushirika mtakatifu. communicant n 1 (informer) mpasha habari. 2 (rel) mpokeaji wa komunyo.