commodore

n kamadori: ofisa wa jeshi agh. la majini au angani mwenye cheo cha juu ya kapteni; kapteni mwandamizi wa meli za biashara.