commission

n 1 tume. Presidential C~ n Tume ya Rais. 2 utoaji mamlaka/wajibu (kwa mtu au kundi la watu); agizo, amri. 3 (crime) tendo, utendaji. ~ of a crime tendo la jinai. 4 hati ya kibali cha kupewa cheo katika jeshi. get one's ~ pata cheo cha ofisa. 5 asilimia ya faida (anayopewa mwuza bidhaa) sell goods on ~ uza bidhaa na kupata asilimia ya faida yake. 6 kazi (yenye ujira wake maalum) she received the ~ to paint the President's picture alipewa kazi ya kuchora picha ya Rais. 7 in ~ (of ship) -wa tayari kusafiri (yenye mabaharia na vyakula vyote vinavyohitajika). 8 out of ~ iliyoharibika, isiyofanya kazi tena my radio is out of ~ redio yangu imeharibika. vt 1 teua; agiza kazi kwa malipo maalum. 2 (mil) pa mtu cheo cha ofisa. 3 (of warship) tayarisha kwa pigano. commissioned adj -enye cheo cha ofisa. commissioner n 1 mwanatume. 2 mkuu; kamishna. District C~er n Mkuu wa Wilaya. Regional C ~er n Mkuu wa Mkoa/ kamishna. 3 wakili wa serikali, mwenye kuagizwa, mwenye amri. ~er for oaths n wakili wa kuapisha. High C~er n Balozi (katika nchi za Jumuiya ya Madola).