commissar

n kamisaa. Political C~ n kamisaa wa siasa: afisa wa chama, Wizara, Shirika, Jeshi n.k. katika jeshi la Urusi. commissariat n 1 (out of use) idara ya jeshi kwa ajili ya ugawaji wa chakula. 2 ugawaji wa chakula. commissary n 1 naibu, mjumbe; wakili; kamisaa wa jeshi (anayehusika na ugawaji wa chakula). 2 duka la chakula (la jeshi, kampuni n.k.). commissarial adj.