commerce

n 1 biashara, (hasa baina ya mataifa); ubadilishanaji na ugawaji wa bidhaa. Chamber of C~ n chama cha wafanyabiashara. Faculty of ~ n Kitivo cha Biashara. commercial adj 1 -a biashara commercial radio, redio ya biashara (inayojigharamia kutokana na malipo yatozwayo kwa vipindi vya biashara). commercial traveller n mchuuzi msafiri: mtu asafiriye kuonyesha vitu vya biashara na kupokea maagizo juu yake. 2 -nayoweza kuleta faida. 3 -a kupenda faida tu. n tangazo la biashara (katika vipindi vya TV au redio). commercially adv.