n neno, fasiri, wazo, maoni. no ~ sina neno. vt~ (on/upon) toa mawazo/maoni. commentaryn 1 sherehe. 2 tangazo mfululizo (juu ya tukio) wakati likitendeka broadcast ~ on a football match tangazo la mchezo wa kandanda. commentatevi toa maoni juu ya jambo fulani. commentatorn 1 mtoa maoni. 2 mtangazaji (wa tukio).