commemorate

vt fanya ukumbusho wa, fanya kumbukumbu ya, adhimisha sikukuu ya kukumbuka mtu (jambo fulani). commemorative adj. commemoration n ukumbusho (kwa sala, heshima, sikukuu, mchezo, karamu n.k.). in commemoration of kwa ukumbusho wa, kwa kumbukumbu ya.