command
vt 1 amrisha, amuru. 2 (control) (govern) tawala; ongoza; -wa na amri juu ya (watu mali n.k.). 3 (emotions) zuia, tawala. 4 -wa na uwezo juu ya. 5 stahili, kuwa na ~ respect and sympathy stahili kupewa heshima na huruma. ~ a high price stahili kuuzwa kwa bei ya juu. 6 (front, overlook) tawalia/dhibiti uwanda (kwa sababu ya kuwa juu) the hill ~s the plains kilima kinadhibiti uwanda. n 1 (order) agizo, amri. 2 utawala; ukuu I'm at your ~ niko chini ya amri yako. at the word of ~amri inapotolewa. 3 uwezo have a ~ of several languages fahamu lugha kadhaa. have ~ over oneself jitawala. ~ post n kituo cha kamanda. commanding adj 1 -kuu; -nayotawala ~ing heights of the economy nguzo kuu za uchumi; nayostahili heshima. commandant n (mil) mkuu (wa boma, ngome, kikosi, kambi n.k.). commandeer vt twaa (magari, nyumba) kwa matumizi ya jeshi. commander n kamanda, mkuu wa kundi la askari au manowari; amiri jeshi. C~er- in -Chief n Amiri Jeshi Mkuu. commandment n 1 amri ya Mungu. the Ten C~ments n amri kumi za Mungu. 2 amri, agizo.