comedy

n 1 futuhi; tamthiliya kuchekesha. 2 tukio au mkasa unaochekesha musical ~ futuhi yenye muziki. comedian n chale, mtu wa mikasa/mizaha; mchekeshaji. comedienne n chale wa kike.