1n 1 shirika la makampuni ya biashara. 2 ~ harvestern kivuna nafaka (kinachovuna na kupurura sawia).
combine
2vt,vi~ (with) ungana; unga, unganisha; changanya, shirikisha. ~d operations/exercisesn shughuli mchangamano. combinationn 1 mchanganyo; muungano; uunganishaji. 2 mchanganyiko; ushirikiano enter into combination with ungana na. combination roomnseecommon room chumba (kitumiwacho na wanafunzi na walimu shuleni/chuoni) cha kupumzikia. 3 (pl) combinationn nguo ya ndani (inayovaliwa mwili mzima). 4 pikipiki yenye kigari ubavuni. 5 fomula. combination lockn kufuli la kufunguliwa kwa namba.