combat

vt,vi (against/with) 1 pigana, shindana na. n mapambano, mapigano. single ~ n mapigano kati ya watu wawili tu. combatant adj enye kupigana. n mpiganaji adj -a kupigana, -a kushindana, -a vita. combative adj chokozi, -enye uchu wa kupigana. ~iveness n upiganaji, tabia ya ugomvi. combatively adv.