comb

n 1 kitana; chanuo. 2 undu wa jogoo. 3 honey ~ sega la nyuki. 4 kichambuzi, kichaguzi (mashine inayochagua k.v. pamba). 5 kuchana give one's hair a ~ chana nywele. vt,vi 1 chana. ~ one's hair chana nywele. 2 (for wool, cotton etc.) chambua kwa chanuo au kichambuzi. 3 chakura, tafuta kila mahali. 4 ~out (fig) ondoa (vitu, watu wasio takiwa). 5 (of waves) kunjamana na inuka, vimba.