column

n 1 nguzo, mhimili; mnara. 2 kitu chenye umbo la nguzo. spinal ~ n uti wa mgongo. 3 safu ya chapa. 4 mpango wa vitu kwa safu safu. 5 mlolongo. a ~ of cars/ships mlolongo wa magari/meli. ~ of figures safu ya tarakimu. columnist n mwandishi wa habari anayeshughulikia mada au makala maalum.