colt

1 n 1 mwana farasi dume. 2 (youth) kijana mdogo asiye na uzoefu. coltish adj 1 -a mwana farasi. 2 -enye ujuzi mdogo.