colour

2 vt,vi 1 paka/tia rangi, -wa mwekundu. 2 (up) pata rangi; (blush) iva uso, geuka rangi. 3 (exaggerate) piga chuku, tia chumvi, potosha his hate ~ed his account chuki yake iliathiri maelezo aliyoyatoa; (misrepresent) potosha; singizia. ~in jaza rangi. colouring n kitu kinachotia rangi, rangi (ya ngozi) ya uso; mtindo wa utiaji rangi wa msanii. coloration n 1 mpangilio wa rangi. 2 jumla ya imani/ misimamo n.k. ya mtu/kundi/ taifa. colorific adj 1 -a rangi nyingi. 2 -enye kutoa rangi.