colossal

adj -kubwa mno; -enye nguvu kubwa. colossus n 1 sanamu kubwa mno. 2 (giant) jitu, pandikizi la mtu,sifa za mtu zilizozidiana.