colony

n 1 koloni. 2 (collection) jamii/kundi la wanyama/mimea, watu wa maslahi moja a ~ of plants/insects kundi la mimea/ wadudu wanaoishi pamoja. colonial adj -a kikoloni: (Hist) Colonial Office n (GB) Wizara ya Makoloni. colonial hangover n kasumba ya kikoloni. colonialism n ukoloni. ukoloni mkongwe. neo- colonialism ukoloni mamboleo. colonist n mkoloni; mlowezi, setla; mkazi wa koloni. colonize vt tia ukoloni, anzisha koloni, tamalaki/twaa nchi ya wengine. colonization n ukoloni. colonizer n mkoloni, mtwaa nchi ya wengine.