collude

vi (arch) kula njama, shirikiana, saidiana (hasa katika hila au udanganyifu). collusion n njama, ushirika, mapatano (hasa katika udanganyifu); maafikiano ya siri (ya hila, ujanja).