colloquium

n kongamano, semina ya wataalamu. colloquy n (formal) mazungumzo, maongezi. engage in ~ zungumza.