collide

vt ~ (with) gongana; pambana the ships ~d in the fog meli ziligongana katika ukungu. collision n mgongano, dafrao; mapambano be in/come into collision (with) pingana, pambana; gongana head-on collision mgongano wa uso kwa uso.