college

n 1 chuo cha elimu (agh sehemu ya chuo kikuu); walimu na wanafunzi wanaofanya sehemu ya Chuo Kikuu. C~ of Agriculture n Chuo cha Kilimo. 2 baraza, chama; jamii ya watu wenye nia moja. Sacred C ~; the C~ of Cardinals baraza la makadinali. collegiate adj. collegian n 1 mwanachuo.