collect
collect
1 n (rel) sala fupi ambayo inabadilika kufuatana na siku.collect
2 vt vi 1 kusanya, leta pamoja, changa. 2 chukua, zoa ~-a child chukua mtoto. 3 kusanyika, kutanika; konga. 4 ~ oneself jitayarisha; jikusuru. 5 hifadhi, pata nakala/sampuli (ya kitu). collected adj tulivu, makini. collectedly adv. collection n mkutano; halaiki, mkusanyiko/ ukusanyaji. 2 mchango (wa fedha)/ sadaka. 3 (of poems) diwani. 4 lundo. ~ or n mkusanya. ~ of customs mtoza ushuru/kodi. collective adj 1 -a pamoja n kundi, shirika linalomilikiwa na wafanyakazi wake. ~ive leadership n uongozi wa pamoja. 2 -a umma. ~ivefarm n shamba la umma/ujamaa. 3 (gram) ~ivenoun n nomino wingi. collectively adv. collectivism n ujima: mfumo a ujamaa ambamo nyenzo/zana kuu za uzalishaji mali humilikiwa na dola au umma. collectivize vt unganisha; jumuisha; weka chini ya mamlaka moja; fanya jamaa. collectivization n ujima, ujumuishaji.