collateral

adj 1 sambamba, bega kwa bega. 2 -enye asili moja lakini wazazi mbalimbali (k.m. watoto wa ndugu wawili). 3 -a ziada, -a nyongeza. ~ -evidence n ushahidi wa nyongeza. n dhamana ya mkopo.