collate

vt 1 linganisha, pambanisha (hasa maandiko). 2 (arrange) panga kwa taratibu (k.m. kurasa za vitabu tayari kutiwa jalada). 3 weka pamoja (habari). 4 (rel) teua, chagua (kiongozi wa dini). collation n 1 ulinganisho. 2 chakula chepesi.