collapse

vi,vt 1 vunjika, anguka, poromoka, gwa. 2 zimia, zirai, poteza fahamu/nguvu/uwezo/moyo. 3 (apparatus) kunjana, kunjamana. 4 kunjisha, fanya -jikunje. collapsible adj -a kukunjika. n 1 poromoko, uangamio. 2 mzimio, kukata tamaa. 3 ~ of the lung mzimiko wa pafu. ~of the dollar kuporomoka kwa (thamani) ya dola.