collaborate

vi 1 shiriki katika kazi. 2 shirikiana kisaliti na adui. collaboration n collaborationist n mshiriki katika usaliti. collaborator n mshiriki, kibaraka.