cold

1 adj 1 -a baridi ~ weather hali ya (hewa) ya baridi. ~ storage n chumba cha baridi. give somebody the ~ shoulder (fig) -tothamini, dharau have ~ feet -wa na hofu ya kufanya jambo leave one ~ -tovutwa na. in ~ blood kikatili. ~ -chisel n patasi ya kukatia metali baridi. ~ -fish n mtu asiyechangamkia watu. ~ -snap n kipindi (kifupi) cha baridi. ~ -sore n kidonda cha homa (mdomoni). ~ -steel n silaha ya kukatia au kuchomea. ~ -sweat n kijasho chembamba. ~ -war n vita ya maneno na propaganda. ~ -blooded adj (fig) (of persons, actions) katili; -a damu baridi: -enye damu inayobadilika kufuatana na hali ya hewa. ~ hearted adj -sio na huruma, -siostuka; baridi. 2 (fig) sio -ema, hasimu; (of sex) -sionyegereka/ashiki. 3 (of colours) -agiza. coldly adv. coldness n 1 baridi (be left) out in the ~ dharauliwa, sahauliwa kabisa. 2 mafua. catch a ~ shikwa na mafua. 3 (phys) kiwango cha kuganda.