vi 1 ~ (with)(of two or more objects) lingana, fanana (kwa eneo au umbo). 2 (of events) tukia, sawia/ wakati mmoja. 3 (of ideas etc) patana, oana, afikiana. coincidencen 1 ulinganifu, upatanifu, utukizi. 2 jambo litukialo kulingana na jingine (kwa nasibu au ajabu). coincident; coincidentaladj -a nadra, tukizi.