coil

vt,vi zungusha, zongomeza, kunja, viringisha. n 1 koili: sukepindi la nyaya (za umeme). 2 mzingo, mkunjo. ignition ~ n koili mwasho 3 (of contraceptive) koili, kidude.