coffee

n kahawa. ~-bean n buni. coffeecup n kikombe cha kunywea kahawa. ~-grounds n (pl) machicha ya kahawa. coffee-house n mkahawa. ~-mill/ grinder n kinu cha kusagia kahawa (buni iliyokwisha kukaangwa). ~-pot n mdela. coffee-room n mkahawa mdogo. ~-set n seti ya vyombo vya kahawa. ~-stall n. genge la kahawa. ~-tree n mbuni.