code

n 1 mkusanyiko wa sheria zilizopangwa kwa mfumo maalum. penal ~ n kanuni ya adhabu. 2 mfumo wa kanuni na taratibu zilizokubaliwa na jamii/tabaka/ kikundi cha watu. 3 ishara (mfumo wa alama zinazo- tumiwa katika maandishi ya siri au yaliyofupishwa; alama ya siri. break a ~ gundua jinsi ya kufumbua siri. vt (also encode) andika kwa kutumia alama za maandiko ya siri; simba. codify vt panga kanuni, weka katika mpango ulio wazi. codification n.