coddle

vt 1 ivisha taratibu (kwa joto lisilo kali sana). 2 engaenga, tendekeza, dekeza; endekeza.