cocktail

n 1 kokteli: kileo kikali cha mchanganyiko wa divai n.k. 2 mchanganyiko wa maji ya matunda. 3 mseto wa saladi na matunda.