cock

cock

1 n 1 jogoo, jimbi; kikwarakucha.~ and bull story hadithi ya kipuuzi isiyo ya kuaminika. ~ -a doodle -doo kokoriko, mlio wa jogoo. ~ cock -a hoop adj -a kufurahi sana, -enye kujigamba adv kwa kujigamba. ~ crow n alfajiri. cock-fight n mashindano ya kuchi. live like fighting ~s -ishi kama lodi. ~ of the walk (often derog) kiongozi, mtu anayetawala/kandamiza wengine. cockerel n kijogoo, pora. 2 ndege dume. 3 (of water tap) bilula, chombo/vali ya kufungulia na kufunga k.v. maji n.k. 4 (of gun) kibiri. position of ~ iliyopangwa tayari kufyatuliwa. go off at half ~ anza (sherehe/mipango) kabla matayarisho hayajawa sawa. 5 (vulg sl) mboo. cockup simamisha. ~ up one's ears tega masikio. cocked to one side iliyokaa/-simama. 6 ~ up (sl) haribu, chafua, udhi they completely ~ed up our plans waliharibu mipango yetu. vi (colloq) tambatamba; injika risasi. ~ up weka upande (kofia/ kichwa). cocked adj. cock-eyed adj 1 (sl) -enye makengeza, -a upogo. 2 (sl) -pumbavu; puuzi. cocky adj -enye majivuno, -enye kiburi -enye sodai, -a kujiamini mno.

cock

2 n rundo (la majani makavu; samadi n.k.). vt rundika. cockade n 1 kishada cha kasha la kofia. cockatoo n 1 kasuku kishungi. 2 (Aust. & NZ colloq) mkulima mdogo. cockchafer n tutu.