cochlea

n (anat) komboli: sehemu iliyoko ndani kabisa ya sikio ambayo inafanana na kitu kama springi ambamo mawimbi ya sauti hufasiriwa kuwa fahamu).