coca

n (bot) 1 koka: mojawapo ya magugu yapatikanayo Amerika ya Kusini yenye majani yanayofanana na majani ya chai. 2 majani yaliyokaushwa ya mikoka.