cobble

2 vt 1 shona (hasa viatu vilivyoharibika), tia kiraka. 2 weka ovyo ovyo. cobbler n 1 mshona viatu. 2 mlipuaji. 3 kinywaji baridi cha divai, sukari na malimau. 4 aina ya pai ya matunda.