coast

n 1 pwani; mwambao, ufuko. 2 (US) mtelemko (ambapo unaweza kushuka kwa kuteleza the ~ is clear hamna hatari. vi ~ (along) 1 pita pwani pwani kwa, ambaa pwani, sairi. 2 (of cars, bicycles etc) telemka mlima bila kutumia nishati. ~ guards n walinzi wa pwani. ~-line n ukanda wa pwani. ~-wise adj & adv (a) pwani pwani. coaster n 1 chombo cha mwambao. 2 chombo cha kuteleza kisicho na magurudumu. 3 kikalio cha glasi/sahani/sinia (kuzuia meza isipate unyevu/maji). 4 mkeka mdogo wa kuwekea glasi.