coarse

adj 1 (rough)-a kukwaruza; (nguo) isiyo laini. 2 (inferior) duni, hafifu. 3 (rude) -shenzi, bila adabu, -sio na adabu ~ language lugha ya matusi. 4 -enye chengachenga. coarsen vi kwaruza; potosha. coarseness n.