coach

n 1 matwana farasi. drive a ~ and horses through something kwamisha jambo kwa kufichua upungufu wake, onyesha kasoro zake. 2 behewa la abiria. 3 (motorcoach) basi (liendalo safari ndefu). 4 kocha, mwalimu wa michezo. 5 (US) daraja la pili (katika vyombo vya usafiri). vt zoeza, fundisha kwa undani (hasa kwa kuandaa).