co-ordinate

adj 1 -a namna sawa, -a kadiri/cheo kile kile. 2 -a kulingana sawa. 3 ambatanishi. ~ clause n kishazi ambatani. vt ratibu n watu/vitu sawa. co-ordination n 1 uratibu. 2 hali ya kuwa namna/kadiri/cheo sawa coordination point kituo cha uratibu. 3 (of muscles) kupatana, kukubaliana. co-ordinator n mratibu.