club

n 1 rungu. ~ footed adj -enye miguu iliyopindika. 2 (in cards) pau, mavi ya mbuzi. 3 chama, shirika la watu; klabu. vt 1 piga kwa rungu; 2 ungana; shirikiana. ~ together shirikiana. clubbable adj - kunjufu; in the ~ mjamzito.