clover

n (bot) klova: jamii ya mimea yenye majani ya pande tatu (hupendwa sana na ng'ombe, mbuzi n.k). live in ~ kaa katika hali ya neema.